1,429 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 11 Mar 2020
2:35
Mke wangu aliniambia kuwa yeye hanywi pombe hata kidoga lakini hivi majuzi nilimfumania akinywa pombe kwenye sehemu ya burudani akiwa na akina mama wa chama #Barazani #InspektaMwala #VincentAteya