
859 views
Vita dhidi ya ufisadi vimechukua mkondo mwingine baada ya kiongozi wa mashtaka ya Umma Noordin Haji na mkuu wa DCI George Kinoti kutOfautiana jinsi ya kuendesha kesi ya ufisadi inayokabili Mkurugenzi wa halmashauri ya bandari nchini Daniel Manduku #DPP #DCI JAMBOKENYA