
1,192 views
Kituo Cha Radio Citizen kikiongozwa na Jeriadah Andayi kwa mara nyingine tena kiliandaa tamasha la rhumba ya kukata na shoka mtaani Komarock kwenye mkahawa wa Nyama Villa hapa jijini Nairobi ,Ilikuwa ni fursa adimu kwa wakaazi ambao walipata nafasi ya kutangamana na watangazi wawapendao #RadioCitizenRhumbaNight #JeridahAndayi #RogaRoga