
3,659 views
Mtangazaji maarufu wa kipindi cha Jambo Kenya kwenye Radio Citizen Vincent Ateya asimulia kisa ambapo maiti alifufuka maeneo ya magharibi mwa Kenya na kuongezea kwamba visa kama hivi vimeripotiwa mara kwa mara nchini #VincentAteya #MelodySinzore #InspektaMwala