
549 views
Maafisa wa upelelezi wa jinai nchini DCI walivamia boma lake aliyekwua waziri wa michezo Rashid Echesa kama mojawepo wa uchunguzi unaoendelea wa kutanzua vyanzio vya sakata ya zabuni ghushi ya thamani ya shilingi bilioni 39 , za ununuzi wa silaha.