
126,652 views
Kutokana ya yaliyogonga vichwa vya magazeti kinara wa ODM raila Odinga alimsuta naibu wa Rais William Ruto kwa kile alichokitaja kwamba yeye ni mwanafunzi wake kisiasa , Na hii leo kwenye #DriveOnReloaded Tina Ogali alionekana akilifanyia msaha swala hilo #TinaOgal #DriveOnReloaded #MunaiGenerali #