
1,401 views
Mama mkwe alinipigia simu akaniambia anakuja na wageni mimi nikachukua hatua nikachinja mbuzi ili wageni wakija wale chakula kizuri lakini baadaye mama mkwe alinifukuza nyumbani kisa na maana nilichinza mbuzi nyumbani kwake .#Barazani #RadioCitizen #InspektaMwala