
30,371 views
Akiongea kwenye kipindi cha #DriveOnReloaded muigizaji na mtangazaji Munai Generali aliaweka wazi kwamba mahusiano ya kimapenzi kati yake na mzungu yalifikia kikomo baada ya mzungu kungundua kwamba Munai alikuwa kibaraka mkubwa bila manufaa yoyote kwenye mahusiano #MunaiGenerali #TinaOgal