
1,355 views
Mtangazaji mkongwe na gwiji wa rhumba maarufu kama Uncle Fred Obachi Machoka alisema kwamba wasanii wa nyimbo za injili na wale za kidunia ni vyema kuwapa heshima wangulizi wa nyimbo hizo #UncleFredObachi Machoka #RadioCitizen #GospelIndustry