
2,063 views
Akiongea kwenye kikao cha #JamboKenya Francis Gachuri alitoa mtazamo mkali ambao uliungwa mkono na Jamila Mohamed , LincoIn Njogu na kigogo Vincent Ateya kwamba BBI sio ya wakenya kwanyi wanasiasa wameteka nyara ripoti ya BBI #FrancisGachuri #JamilaMohamed #Vincent Ateya