
38,536 views
Akizungumza kwenye kipindi cha mambo mseto ndani ya Radio Citizen muimbaji wa nyimbo za injili maarufu kama Ringtone alidokeza kwamba diamond Plutnumz ambaye ni msanii tokea nchini Tanzania ni mwanabiashara mzuri lakini hana utajiri kiwango chake #DiamondPlutnumz #WillyMTuva #SellyKadotAmutabi #MamboMseto