
45,152 views
Msanii wa nyimbo za injili maarafu kama Ringtone amemkashifu Bahati kwa kile anachokitaja kwamba bahati alienda kinyume na injili ya bwana kwa kushirikiana na wasani wa secular music maarufu kama boondocks #Bahati #RingtoneApoko #Boondocks