1,164 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 14 Feb 2020
3:38
Nilinunulia mama mkwe mbuzi tulipoenda kumtembelea nyumbani kwake mimi na mume wangu na baada ya kurudi Nairobi hiyo mbuzi ilikufa na sasa sijui ni kwa nini, Jane anaomba ushauri. #Barazani #InspektaMwala #VincentAteya