
3,605 views
Mkuu wa kitengo na mtangazaji wa Radio Citizen Jeridah Andayi amejiunga na wanahabari wengine duniani kuwapa ushauri nasaha wanahabari chipukizi huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya Radio duniani #RadioCitizen #JeridahAndayi #RadioWorldDay