386 views
Mambo Mseto on Radio Citizen
Aired 13 Feb 2020
9:05
Dunia inaadhimisha siku ya redio duniani ujumbe ukiwa majadiliano, uvumilivu uvumbuzi wa tangia redio ilipoanza huku wanahabari wakongwe wakisimulia mabadiliko katika tasinia ya uanahabari #JamboKenya #VincentAteya #MelodySinzore