
56,992 views
Akiongea kwenye Jambo Kenya muigizaji matata Ondieki Nyuka Kwota alidokeza kwamba walipata minongono kwamba huenda Aliyekuwa Rais Wa pili wa nchi yake Daliel Arap Moi aliwapa waigizaji wa VITIMBI shamba maeneo ya Kitisuru ,Shamba ambayo hadi wa sasa hawajawahi kuipata #OndiekiNyukaKwota #RIPMOI #JamboKenya