
7,850 views
Tumeishi na mumu wangu kwa muda mrefu sasa na kabla anioe nilimwambia kwamba niko na mtoto ambaye nilizaa na mume mwingine lakini sasa shida ni kwamba watoto ambao tumezaa na yeye wasoma shule nzuri lakini yule wangu na mume mwingine anasoma shule ya kijijini #Barazani #MelodySinzore #VincentAteya