
31,864 views
Gwiji wa muziki wa Rhumba Uncle Fred Obachi Machoka amewahimiza wakenya wote kusoma na kuelewa Ripoti ya kuwaunganisha wakenya wote BBI bila kutegemea viongozi kuwasomea na kuwaeleza kuhusu ripoti yenyewe kwani inchi hii ni yetu sisi zote #