
6,664 views
Mzozo unaotokota kati ya msanii wa injili maarufu kama Bahati na Peter Blessing Umechukua mkondo mpya baada ya msanii Steve Kay kuwatumia ujumbe mzito , Duru za kuaminika zasema kwamba wawili hao tayari wametengana . #BahatiKenya #PeterBlessing #SteveKay #JamboKenya