
208 views
Wakenya wengi kwa njia moja au nyinygine wamejipata matatani baada ya kujaribu kununua bidhaa mbali mbali mitandoni kisha baadaye wanalaghaiwa, Hii leo kwenye Jambo kenya tunajaribu kuchanganua tapeli unaofanywa mitandaoni #JamboKenya #MelodySinzore #UtapeliMitandaoni