
734 views
Akiongea kwenye kipindi cha Jambo Kenya #Kikao Mtangazaji mahiri wa Radio Citizen Vincent Ateya amewasuta vikali magavana ambao wamemaliza hatamu zao za uongozi na bado wana tamaa ya kujitakia makuu hata baada ya kutoka uongozini #VincentAteya #CornelRasanga #Kikao