
8,074 views
Hii leo kwenye barazani binti mmoja aliyeolewa yapata mwezi mmoja uliopita anadokezea meza ya barazani kwamba baada ya kuolewa sasa mme wake hataki kumlea mtoto ambaye alizaa na mme mwingine #Barazani #VincentAteya #MelodySinxore #InspektaMwala