
228 views
Akiongea kwenye mahojiano ya moja kwa moja kwenye kipindi cha #WinguLaBaraka ndani ya Radio Citizen, msanii wa injili Jemimah Owiti aelezea jinsi alivyopoteza uwezo wake wa kuona kisha baadaye Mungu akampa uponyaji #JemimahOwiti #SellyKadot #RadioCitizen