
1,062 views
Hii leo mteja wa barazani analalama kwamba mme wake ambaye ni mchungaji maarufu nchini alimzalisha mmoja wa waumini wake na sasa imekuwa vigumu kwake kuendelea kushiriki kanisa moja na huyo mchungaji ambaye ni mme wake #Barazana #MelodySinzore #VincentAteya