
1,638 views
Kulingana na dondoo za kuaminika kutoka kwa Inspekta mwala sasa walevi wote kuto eneo la Embu wana kila sababu ya kutabasama kwani masa ya unywaji pombe sasa huenda yakaongezwa na serikali ya kaunti ya Embu. #InspektaMwala #MelodySinzore #VincentAteya #JamboKenya