
18,679 views
Kulingana na wachanganuzi wa kisiasa sasa ni wazi kwamba mafarasi wawili watakaomenyana kwenye kinanganyiro cha urai ifikapo mwaka wa 2022 ni naibu wa Rais William Ruta na kinara wa ODM Raila Odinga ingawaje hajasema kwamba atawania urais mwaka wa 2022 jambo ambalo wendani wake Odinga wanahji vingine #RailaAmoloOdinga #WilliamRuto #Kiako