
114 views
Hofu imewagubika wazazi na wadau wa sekta ya elimu kuhusu wanafunzi masikini amboa walikuwa wajiunge na shule mbali mbali nchini, Hata hivyo, changamoto zipo na huenda wanafunzi wengi wakakosa kujiunga na kidato cha kwanza. #Kikao #FrancisGachuri #JamilaMohamed #LincoInNjogu