1,230 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 14 Jan 2020
3:59
"Nilimwambia mme wangu aninunulie gari akakataa na baada ya changa changa zangu nikanunua gari na sasa hataki kuliona gari langu kwenye compound yake ,Nifanye je "? Aliomba ushauri mteja wetu #Barazani #VincentAteya #MelodySinzore