5,466 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 13 Jan 2020
4:12
Hii leo mteja wa barazani anatoa lalama kwamba yeye na mpenziwe wamekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi bila kuoana na anashuku kuna shida mahali #Barazani #MelodySinzore #VincentAteya