19,114 views
Mambo Mseto on Radio Citizen
Aired 9 Jan 2020
13:00
Wakaazi waliokuwa wamepandwa na hamaki wanadaiwa kumkatakata kwa upanga na kumteketeza kiasi cha kutotambulika Daisy Mbothe ambaye ni mwalimu katika shule ya msingi ya Ndooni kaunti ya Kitui #KituiCounty #JamboKenya #VincentAteya