
814 views
Akiongea na kituo cha radio citizen mbunge wa westlands Timothy Wanyonyi amesema kwamba hatua ya chama cha Jubilee kusimamisha mgombeaji wa kiti cha ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa kibra ni kitu ambacho kiliwakosesha usingizi wanaNasa #NASAPARTY #JubileeParty #TimothyWanyonyi