1,528 views
Radio Citizen Highlights on Radio Citizen
Aired 21 Dec 2019
3:22
Gwiji wa rhumba na mtangazaji wa kipindi cha roga roga Uncle Fred Obachi Machoka awapa ushauri nasaha watahiniwa waliofanya mtihani wao wa kidato cha nne mwaka huu #UncleFredObachiMachoka #RogaRoga #RadioCitizen