17,286 views
Waks Tiki Taka on Radio Citizen
Aired 18 Dec 2019
6:12
Akizungumza kwenye kipindi cha Jambo Kenya msemaji wa ikulu Bi Kanze Dena Mararo amedokeza kwa uhusiano kati ya Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto bado uko imara #KanzeDena #JamboKenya #StateHouse #UhuruKenyatta #WilliamRuto