1,085 views
Waks Tiki Taka on Radio Citizen
Aired 16 Dec 2019
1:11
Katika kipindi cha Jambo Kenya Mjeshi mahiri Inspekta Mwala amewasihi madereva wanaofanya kazi katika kaunti ya mombasa kumtembelea nyanya yake mbaye ni mgang'a ili waboreshe biashara zao #InspektaMwala #VincentAteya #JamboKenya