
783 views
Akiongea kwenye kituo cha radio citizen mapema hii leo Seneta wa Nairobi Johnson Sakaja amesema kwamba ingawaje kuna shida kubwa ya uongozi katika kaunti ya Nairobi yeye binafsi hatokubali kaunti hiyo ivunjiliwe mbali .#SenatorJohnsonSakaja #NairobiCounty #MikeSonko