594 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 13 Dec 2019
12:18
Mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili Reuben Kigame asimulia mateso aliyopitia baaday ya kumpoteza mke wake na hata kushauriwa asiwanie kiti cha ugavana kwani huenda pesa zikapotea sababu hana uwezo wa kuona