
4,528 views
Huku Radio Citizen ikiadhimisha miaka 20 ya utangazaji bora barani afrika ,Watangazaji wa Radio Citizen wakiongozwa na Mkuu wa kituo Jeridah Andayi wameonyesha umahiri wao wa densi katika tamasha la muziki wa aina ya rhumba kwenye mkahawa wa Carnivore #RadioCitizenRhumbaNight #RadioCitizen@20 #Carnivore