
1,674 views
Mwanamme mmoja ambaye pia ni polisi wa Nyabuanze adaiwa kumbaka bintiye kisha baadaye kushirikiana na polisi wengine kumtia gerezani kwa siku sita, Ama kweli unyama umewatoka wanyama na kuwaingia binadamu #Barazani #JeridahAndayi #MelodySinzore #InspektaMwala