
554 views
Akiongea kwenye kipindi cha Jambo Kenya ndani ya Radio Citizen Seneta wa Elgeyo Marakwet Kipchumba Murkomen ambaye pia ni kiongozi wa wengi kwenye seneti amesema kwamba hajutii kilichotoke kwenye hafla ya Bomas ambako BBI ilipokuwa ikisinduliwa #KipchumbaMurkomen #DrFredMatiang'i #JeridahAndayi #JamboKenya