
2,908 views
Ripoti ya kuleta maridhiano nchini BBI inayonasubiriwa na wakenya kwa hamu kuu inatarajiwa kumaliza dukuduku ambalo Wakenya wamekuwa nalo kwa siku nyingi, Ripoti hiyo itakabidhiwa Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga siku ya leo tarehe 26/11/2019 kisha kuwekwa wazi kwa mwanainchi hiyo kesho #BBIReport #Kikao #JamboKenya #Radio Citizen