81,770 views
Mambo Mseto on Radio Citizen
Aired 22 Nov 2019
4:15
Mama ajipata kwenye njia panda baada ya mwanawe kutishia kusitisha masomo na kuondoka nyumbani yake ikiwa mamake mzazi hatamwambia aliko baba. Abdi Munai na Jeridah Andayi wampa ushauri nasaha #AbdiMunai #JeridahAndayi #TupigeGumzo