5,625 views
Waks Tiki Taka on Radio Citizen
Aired 21 Nov 2019
4:50
Mratibu wa kitaifa wa chama ANC Basil Mwakiringo ameibua madai kwamba seneta wa Kakamega Cleophas Malala alijengewa nyumba na Naibu wa Rais kwa hivyo hafai kuitwa mwanaume mkamilifu #BasilMwakiringo #CleophasMalala #ANCParty #JamboKenya