4,527 views
Mambo Mseto on Radio Citizen
Aired 20 Nov 2019
5:21
Seneta wa Kakamega Cleophas Malala amemshitumu katibu mtendaji wa chama cha ANC Barrack Muluka kwa kile anachokisema kwamba Barrack anatumika kisiasa na naibu wa Rais William Ruto #BarrackMuluka #ANCParty #CleophasMalala #JamboKenya