
16,236 views
''Ni nani asiyetaka kuwa mkubwa tena'' Matamshi ya Rais Uhuru Kenyatta yameibui hisia mseto miongoni mwa mirengo tofauti ya kisiasa nchini huku wengine wakikisa kwamba huenda BBI ikamtenga yeye kiti kikubwa serikali ifikapo mwaka wa 2022 , Vile vile Rais Uhuru aliwambia viongozi wasipotoshe umma kuhusu BBI. #BBI #UhuruKenyatta #SaganaMeeting #Kikao