
413 views
Kutokana na usahihishaji wa mitihani kupitia njia ya teknolojia ya kiautomatiki, Baraza la Kusimamia Mitihani Nchini (Knec) jumatatu limetangaza matokeo ya KCPE chini ya siku 18 baada ya kukamilika kwa mtihani huo. #KCPE2019 #ProfGeorgeMagoha #Knec