
11,205 views
Kaunti ya Nairobi ndio ya kaunti ya kipekee nchini Kenya inayoendeshwa bila Naibu gavana sasa ni wazi kwamba Gavana Mike Sonko Anatasamia kumteua Mwanamke kama Naibu wake ikikumbukwa kwamba Sonko hapo awali alimteua Miguna Miguna uteuzi ambo baadaye ulitupiliwa mbali #MikeSonko #NairobiCounty #JamboKenya