
24,016 views
Gavana wa Kaunti ya Nairobi Mike Mbuvi Sonko kwa mara ya kwanza amekubali kwamba mkasa wa shule ya kibinafsi ya Precious Talent ulitokea kwa sababu ya uzembe wa maafisa wa kaunti ya Nairobi na kuongeza kuwa hatotishwa na vitisho vya tume ya kupambana na ufisadi nchini [EACC], Akiongea kwenye kipindi cha Jambo Kenya Sonko amesema kwamba yeye atafanya kazi kulingana na mjibu wa sheria #EACCKENYA #MikeMbuviSonko #VincentAteya #MelodySinzore #InspektaMwala #NairobiCounty