
2,400 views
Mtangazaji mahiri wa kipindi cha Roga Roga kinachopeperushwa kupitia Radio Citizen kila jumamosi na jumapili Uncle Fred Obachi Machoka hivi karibuni ameonekana kuwakosoa waKenya wanaohamia mjini kwa madhumuni ya kupata utajiri wa haraka na kuwataka wawe wavumilifu kwa maisha #RogaRoga #UncleFredObachiMachoka