
705 views
Mwimbaji stadi wa nyimbo za ''Country Music'' maarufu kama Sir Elvis awatumbuiza Watangazaji na mashabiki wa Radio Citizen kwa nyimbo zake zenye mnato wa aina yake kwenye kipindi cha Jambo Kenya kinachopeperushwa kila siku ya wiki #SirElvis #KennyRogers #JamboKenya