
8,677 views
Mzozo kati ya spika wa Bunge la seneti kaunti ya Nairobi Beatrice Elachi na mwakilishi wadi wa Matopeni Abdi Guyo umechukua mkondo mwingine baada ya Guyo kuibua madai kwamba katibu mkuu wa chama cha Jubilee Raphael Tuju amehongwa na Gavana wa Nairobi Mike Sonko ili kumuadhibu yeye kinyume na sheria #RaphealTuju #MikeSonko #AbdiGuyo